Georges-Kevin Nkoudou (kulia) akipongezwa na Dele Alli baada ya Mfaransa huyo kuifungia Tottenham bao la tatu dakika ya 80 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya APOEL Nicosia ya Cyprus katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley Jijini London. Mabao mengine yalifungwa na Fernando Llorente dakika ya 20 na Son Heung-min dakika ya 37 na Spurs inafuzu hatua ya 16 Bora kama mshindi wa Kundi H kwa kukufikisha pointi 16 ikifuatiwa na Real Madrid iliyomaliza na pointi 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ding edges past Williams into last eight of Masters
-
Ding Junhui edges past Mark Williams 6-5 in a final-frame decider to move
into the quarter finals of the Masters at Alexandra Palace.
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment