Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akinyoosha mkono juu na kuinua kidole gumba kuwapa ishara mashabiki wa timu yake baada ya kufunga bao la pili dakika ya 12 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid, Hispania. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Borja Mayoral dakika ya nane na Lucas Vázquez dakika ya 81 wakati ya Borussia Dortmund yote yalifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika za 43 na 48. Real inakwenda 16 Bora kama mshindi wa pili wa kundi baada ya kumaliza na pointi 13, nyuma ya Tottenham Hotspur iliyomaliza na pointi 16, wakati Borussia Dortmund inaangukia Europa League baada ya kumaliza nafasi ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Juventus beat Tottenham to the signing of PSG star after agreeing a loan
deal with the French champions
-
Spurs held talks with PSG over a potential deal, with Ange Postecoglou
looking to strengthen his frontline this month. But the Premier League club
are now ...
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment