Mshambuliaji chipukizi Marcus Rashford (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 66 ikiilaza 2-1 CSKA Moscow usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. CSKA walitangulia kwa bao la Vitinho dakika ya 45 kabla ya Romelu Lukaku kuisawazishia Man United dakika ya 64 na hivyo kukamilisha mechi za kundi hilo kileleni kwa pointi zake 15, mbele ya FC Basle yenye pointi 12 na zote zinafuzu 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
"I knew what I was going to do"- Antoine Semenyo reflects on stunner
against Chelsea
-
Ghana forward Antoine Semenyo has reacted to Bournemouth's performance at
Stamford Bridge against Chelsea in the thrilling 2-2 draw on Tuesday
evening. Th...
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment