Kiungo David Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 27 na 52 ikiwalaza wenyeji, Swansea City mabao 4-0 Uwanja wa Liberty usiku wa jana, huo ushindi wa 15 mfululizo na wa rekodi katika Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City ya kocha Mspaniola, Pep Guardiola yalifungwa na KevIn De Bruyne dakika ya 34 na Sergio Aguero dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Huge money divide in tennis exposed: How a local star has to buy
second-hand clothes for the Australian Open while Aryna Sabalenka wears a
$230,000 watch
-
The astonishing money divide in world tennis couldn't be clearer when you
compare women's world number one Aryna Sabalenka to Aussie junior prodigy
turned ...
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment