Nicolas Otamendi akiwapigia saluti mashabiki baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 54 ikiwalaza wenyeji, Manchester United 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Ole Trafford leo. David Silva alianza kuifungia Man City dakika ya 43, kabla ya Marcus Rashford kuisawazishia United dakika ya 45 na sasa Pep Guardiola anamzidi Jose Mourinho pointi 11 kileleni PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Derrick Henry Posts 'Cars' Photo After Lamar Jackson's Viral Video After
Ravens' Win
-
Baltimore Ravens quarterback Lamar Jackson compared running back Derrick
Henry to the main character of the Cars franchise, Lightning McQueen, after
his…
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment