Romelu Lukaku (kulia) na Jesse Lingard (kushoto) baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-1 wa Manchester United dhidi ya West Bromwich Albion leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Hawthorns. Lukaku alifunga la kwanza dakika ya 27 na Lingard la pili dakika ya 35 kabla ya Gareth Barry kuwafungia WBA dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TeamViewer Trending: Maguire's Resurgence
-
Harry Maguire's reputation is now arguably higher than at any point since
the summer of 2021, writes Joe Ganley.
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment