Riyad Mahrez (kushoto) akifumua shuti kumtungua kipa Fraser Forster kuifungia bao la kwanza Leicester City dakika ya 11 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Southampton usiku wa jana Uwanja wa St. Mary's mjini Southampton, Hampshire. Mabao mengine ya Leicester yalifungwa na Shinji Okazaki mawili dakika za 32 na 69 na Andy King dakika ya 38, wakati la Southampton lilifungwa na Maya Yoshida dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former NFL DE Robert Quinn Arrested on Reckless Driving Charge After Car
Crash
-
Former NFL defensive end Robert Quinn has been arrested and charged with
leaving the scene of property damage (unattended vehicle) and reckless
driving after…
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment