Kikosi cha timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ kabla ya mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge dhidi ya wenyeji, Uganda ‘The Cranes’ Desemba 9, mwaka 1995 Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala. Zanzibar Heroes ilishinda 1-0 na kubeba Kombe, bao pekee la Victor John ‘Bambo’.
Kutoka kulia waliosimama kocha Hafidh Badru, Shekha Khamis, Abdulrahman Mussa, Sabri Ramadhani ‘China’, Victor John Bambo, Nassor Salum ‘Cholo’, Seif Khalfan, Issa Gazza, Nassib Salum na Shaaban Ramadhan.
Waliochuchumaa kutoka kulia ni Riffat Said (marehemu), Said Mohamed ‘Makapu’, Juma Shekha, Hassan Ramadhani Wembe, Salum Ali, Mbegu Mohamed, Uzia Abdallah, Simai Hajji (marehemu), Mohammed Shaaban ‘Kachumbari’ na Mbarouk Suleiman.

0 comments:
Post a Comment