Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau akiwa haamini macho yake baada ya Green Warriors ya Daraja la Pili kuivua ubingwa wa Azam Sports Federation Cup Simba SC, timu aliyowahi kuichezea enzi zake kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam usiku wa jana
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tuliy akiwa mwenye huzuni jana Chamazi
Wapenzi wa Simba wakiwa hawaamini macho yao juu ya kilichotokea jana
Shabiki huyu aliamua kupambana na hali yake kwa kujilazimisha kufurahi mbele ya kamera
Mabosi wa Azam TV, wadhamini wa michuano hiyo, Patrick Kahemele (kulia) ambaye pia ni Katibu wa zamani wa Simba na Yahya Mohmmed wakifuatilia mchezo huo
OSU's Ryan Day Praised by CFB Fans amid Criticism After Blowout CFP Win vs.
Tennessee
-
Ohio State punched its ticket to the Rose Bowl on Saturday night. The
Buckeyes cruised to a blowout victory over Tennessee in the first round of
the College…
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment