Paco Alcacer akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 59 akiunganisha kona ya Denis Suarez katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sporting Lisbon usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la pili Jeremy Mathieu alijifunga dakika ya 90 na ushei na sasa kikosi cha kocha Ernesto Valverde kinakwenda 16 Bora kama kinara wa kundi kwa pointi zake 14 mbele ya Juventus iliyomaliza na pointi 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Massive Australian Open shock as top star Zheng Qinwen falls to the oldest
woman in the tournament after fiery clash with umpire
-
Zheng had a stellar 2024, making the final of the Australian Open and
winning gold at the Paris Olympics - but her 2025 got off to a horror start
at Melbou...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment