Kiungo Mcameroon wa Azam FC, Stephane Kingue Mpondo akimiliki mpira mazoezini leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki kesho dhidi ya Villa Squad kuanzia Saa 1:00 usiku
Mshambuliaji chipukizi, Shaaban Iddi aliyekuwa majeruhi pia akiwa mazoezini leo
Mshambuliaji mpya Mghana, Bernard Arthur akiwa mazoezini leo
Kipa Mghana, Razack Abalora akidaka mpira mazoezini leo
Winga Mghana, Enock Atta-Agyei akifurahia mazoezini leo
Confirmed: Wembley booked for Anthony Joshua vs Tyson Fury mega-fight -
with date named
-
Hearn has revealed he has reserved the iconic Wembley Stadium for the fight
to potentially take place - but admitted it all comes down to Fury's
decision a...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment