
Sunday, December 31, 2017

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akiwahamasisha wachezaji wake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Crystal Palace leo...
YANGA ‘ROJO ROJO’ KWA MBAO…YAPIGWA 2-0 KIRUMBA HADI AIBU
Sunday, December 31, 2017
Na Mwandishi Wetu, MWANZA MBAO FC imeendeleza ubabe mbele ya Yanga baada ya ushindi wa mabao 2-0 leo Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. ...
TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA LIMONGA
Sunday, December 31, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Mtanga...
AZAM FC WALIVYOWASILI ZANZIBAR KUANZA KUTETEA MAPINDUZI
Sunday, December 31, 2017
Wachezaji wa Azam FC walipowasili visiwani Zanzibar jana tayari kuanza kutetea Kombe la Mapinduzi kwa mchezo dhidi ya Mwenge Uwanja wa Am...
MSUVA AREJEA NYUMBANI KWA MAPUMZIKO BAADA YA KAZI NZURI MOROCCO
Sunday, December 31, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva anatarajiwa kurejea nchini Alhamisi kwa mapumziko y...
AZAM FC WAANZA KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI LEO
Sunday, December 31, 2017
Na Salum Vuai, ZANZIBAR MABINGWA watetezi Kombe la Mapinduzi, Azam FC wanaanza kutetea taji la oleo kwa kumenyana na Mwenge kuanzia Saa 10...
ATHUMANI MAMBOSASA ENZI ZAKE ALIKUWA KIPA HODARI NA MAHIRI
Sunday, December 31, 2017
Kipa wa Simba, Athumani Mambosasa (sasa marehemu) akiruka kudaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Kitwana Manara katika fainali ya K...
2017 ULIKUWA MWAKA WA TAMU NA CHUNGU KATIKA SOKA YETU
Sunday, December 31, 2017
SAA 6:00 usiku wa leo, nchi itapambwa na shamrashamra za kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018. Ni siku ambayo wengine watabubujikw...
Saturday, December 30, 2017
LUKAKU AFUNGWA MASHINE YA KUPUMULIA BAADA YA KUUMIA
Saturday, December 30, 2017
Mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku akitolewa nje huku amefungwa kifaa maalum cha kupumulia dakika ya 14 tu baada ya kuumia ...
MAN UNITED YATOA SARE TENA, 0-0 NA SOUTHAMPTON
Saturday, December 30, 2017
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akifunga bao dakika ya 82 ambalo alifikiri lingekuwa la ushindi, lakini likakataliwa na refa kwa ...
NSAJIGWA: JEURI YA MBAO TUTAIMALIZA KESHO KIRUMBA
Saturday, December 30, 2017
Na Abdallah Chaus, MWANZA KOCHA Msaidizi wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nsajigwa Shadrack ‘Fuso’ amesema kwam...
CHELSEA YAFUNGULIA MBWA ENGLAND, YAICHAPA 5-0 STOKE CITY
Saturday, December 30, 2017
Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la nne kwa penalti dakika ya 73 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Geoff Cameron k...
SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIBAMZIA LEICESTER CITY 2-1
Saturday, December 30, 2017
Mshambuliaji Mohamed 'Mo' Salah akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 52 na 76 Liverpool ikitoka nyuma kwa bao la ...
NDANDA FC 0-2 SIMBA SC
Saturday, December 30, 2017
SIMBA RAHA TUPU, YAIPIGA NDANDA 2-0 NA KURUDI KILELENI LIGI KUU
Saturday, December 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, MTWARA SIMBA SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji,...
WANACHAMA YANGA MWANZA WAJITOLEA KUSAJILI WACHEZAJI 10
Saturday, December 30, 2017
Na Abdallah Chaus, MWANZA WANACHAMA wa matawi ya Yanga mkoani Mwanza wamekutana katika mkutano wao wa mwisho wa mwaka wenye lengo la kuja...
Friday, December 29, 2017
AZAM FC 3-0 STAND UNITED
Friday, December 29, 2017
ARTHUR AFUNGA ‘BAO TAMU’ AZAM FC YAUA 3-0 NA KUPAA KILELENI LIGI KUU
Friday, December 29, 2017
Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM AZAM FC imesogea juu kabisa ya msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi...
SIMBA YAMTEMA KWASI SAFARI YA MTWARA, AAMBIWA ATAANZIA MAPINDUZI
Friday, December 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM BEKI mpya wa kati wa Simba SC, Asante Kwasi raia wa Ghana hataweza kuanza kuichezea klabu hiyo kesho kat...
YANGA WAINGIA MWANZA KWA KISHINDO KUIZIMA MBAO FC
Friday, December 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAIMU Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga ameongoza msafara wa watu 30 wa klabu hiyo uliotua jijini Mwa...
YUSSUF BAKHRESA AINGIZWA TUZO ZA VIJANA WENYE USHAWISHI
Friday, December 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MMOJA wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yusuf Bakhresa, amechaguliwa kugombea tuzo za vijana wenye ushawishi hap...
KAGERA SUGAR WANAVYOIFUATA MBEYA CITY KWA KUJIAMINI
Friday, December 29, 2017
Wachezaji wa Kagera Sugar wakiwa kwenye mapumziko mafupi wakati wa safari yao kwenda Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tan...
SANCHEZ AFUNGA MAWILI ARSENAL YASHINDA 3-2 UGENINI
Friday, December 29, 2017
Alexis Sanchez (kushoto) akishangilia na Laurent Koscielny baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 62 na 66 na kuiwezesha kushi...
NYOTA WALIOWIKA SIMBA WANAOMALIZIA SOKA YAO RANGERS
Friday, December 29, 2017
Wachezaji wa zamani wa Simba SC, kutoka kulia Shekhan Rashid, Haruna Moshi 'Boban', Amir Maftah na Said Sued wakijiandaa kwa mazo...
Thursday, December 28, 2017
MSUVAAAA….AFUNGA BAO PEKEE DIFAA WABEBA POINTI TATU LIGI YA MOROCCO
Thursday, December 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO pekee la winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happugod Msuva leo limeipa ushindi wa 1-0 Difaa Hassan...
WALIOSAJILIWA DIRISHA DOGO HATIHATI KUCHEZA LIGI KUU…HADI SASA HAWANA LESENI
Thursday, December 28, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wapya waliosajiliwa dirisha dogo watarahusiwa kuanza kucheza mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanz...
RATIBA MPYA MAPINDUZI, SIMBA KUFUNGUA DIMBA NA MWENGE, YANGA WAPEWA SINGIDA UNITED
Thursday, December 28, 2017
Na Salum Vuai, ZANZIBAR TIMU ya Singida United imeingizwa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi na itakuwa Kundi A pamoja na Yanga SC, Zim...
Subscribe to:
Posts (Atom)