Mwanasoka chipukizi, Zayed Bakhresa akiwa ameketi na mpira wake baada ya mazoezi leo, kwenye Uwanja mdogo wa nyumbani kwao, Mikocheni, Dar es Salaam
Pamoja na kucheza soka shuleni kwao, IST, Mikocheni, Zayed Bakhresa pia hucheza nyumbani
Zayed Bakhresa ni mtoto wa mmoja wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa

Zayed Bakhresa ni mtoto wa mmoja wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa
0 comments:
Post a Comment