Beki wa Mbeya City, Ramadhan Malima akiwa amemuangusha mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 5-0
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Martin (kushoto) akimtoka beki wa Mbeya City jana
Kiungo wa Mbeya City, Mohammed Samatta akimiliki mpira mbele ya Emmanuel Martin wa Yanga
Beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akipita na mpira kwa kasi dhidi ya mshambuliaji wa Mbeya City, Frank Ikobela
Kungo wa Mbeya City, Babu Ally (kushoto) akipambana na kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib jana
Beki wa Yanga, Juma Abdul akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Mbeya City, Hassan Mwasapili
Kocha Mzambia wa Yanga, George Lwandamina (kulia) akimpa maelekezo mchezaji wake, Ibrahim Ajib
Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akiupigia hesabu mpira mbele ya kiungo wa Mbeya City, Mohammed Samatta
Kikosi cha Yanga katika mchezo wa jana
Kikosi cha Mbeya City katika mchezo wa jana
Former Ghana defender Kissi Boateng calls for intensive preparation ahead
of 2026 World Cup qualifiers
-
Former Ghana defender Richard Kissi Boateng has called on the Ghana
Football Association (GFA) and the Black Stars technical team to ensure
adequate prepar...
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment