Kipa Mcameroon wa Yanga, Youthe Rostand akiokoa kwa ustadi wa hali ya juu wakati wa mazoezi ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili
Beki Hassan Kessy akivuta kasi kuuwahi mpira
Daktari wa timu, Edward Bavu (katikati) akizungumza na wachezaji
Kocha Msaidizi wa kwanza, Mzambia Noel Mwandila akizungumza na wachezaji
Wachezaji wakikimbia Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam leo
Screamers & headers on the floor - FA Cup third-round goals
-
Watch the best goals from the third round of the FA Cup, including strikes
from Trent Alexander Arnold, Bruno Fernandes and Joao Felix.
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment