// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VODACOM YAMKABIDHI CHIRWA ZAWADI YAKE YA OKTOBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VODACOM YAMKABIDHI CHIRWA ZAWADI YAKE YA OKTOBA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, November 16, 2017

    VODACOM YAMKABIDHI CHIRWA ZAWADI YAKE YA OKTOBA

    Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude (kushoto) akimkabidhi mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 baada ya kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzaania Bara mwezi Oktoba. Tukio hilo limefanyika asubuhi ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kabla ya mazoezi ya Yanga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VODACOM YAMKABIDHI CHIRWA ZAWADI YAKE YA OKTOBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top