Mkurugenzi wa Busara Promotion, Yusuf Mahmoud na Balozi wa Norway nchini Tanzania Bi. Hanne-Marie Kaarstad wakibadilishana hati za udhamini wa tamasha la Sauti za Busara 2018 jana visiwani Zanzibar. Ubalozi wa Norway umetoa Sh. Milioni 300 kudhamini tamasha hilo la kila mwaka
Mkurugenzi wa Busara Promotion, Yusuf Mahmoud na Balozi wa Norway nchini Tanzania Bi. Hanne-Marie Kaarstad wakitiliana saini udhamini huo mapema leo Novemba 2, 2017. Wengine wanaoshuhudia ni maafisa kutoka Ubalozi wa Norway na Busara Promotions

0 comments:
Post a Comment