Fernando Torres akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid mabao mawili dakika za 33 na 68 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Elche kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Bao lingine la Atletico Madrid limefungwa na Jose Gimenez dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Preview: Real Madrid v Arsenal
-
As we aim to reach the Champions League semis, get team news, stats, the
lowdown on Madrid and more in our guide to the game
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment