Beki wa Simba, George Owino (kushoto) akiondoka na mpira baada ya kumzidi maarifa mshambuliaji wa Simba, John Bocco (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Winga wa Simba Shiza Kichuya akimtoka beki wa Lipuli
Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Lipuli, Seif Abdallaha Karihe
Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiondoka na mpira mbele ya mchezaji wa Lipuli
Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo (kushoto) akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Lipuli, Mghana Asante Kwasi
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude (kulia) akinyoosha mguu kuudhibiti mpira dhidi ya mchezaji wa Lipuli
Kiungo Shaaban Zubery Ada wa Lipuli (kulia) akipambana na beki Ally Shomari wa Simba
Kipa wa Lipuli, Agathon Mkwando akiwa amedaka mpira chini, huku akilindwa na mabeki wake
Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana dhidi ya Lipuli
Kikosi cha Lipuli FC kilichoanza dhidi ya Simba jana
Rivers: LG administrator cautions workers on laxity, negligence to duty
-
From Tony John, Port Harcourt The newly appointed Sole Administrator,
Andoni Local Government Area, Rivers, Mr. Atajit Francis, has warned
council staf...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment