// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SANE AWA MCHEZAJI BORA WA OKTOBA LIGI KUU ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SANE AWA MCHEZAJI BORA WA OKTOBA LIGI KUU ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 17, 2017

    SANE AWA MCHEZAJI BORA WA OKTOBA LIGI KUU ENGLAND

    Winga wa Manchester City, Leroy Sane akiwa amepozi na tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Oktoba wa Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa leo, akiwapiku mchezaji mwenzake wa Etihad, Kevin De Bruyne na Nacho Monreal wa Arsenal kufuatia kufunga mabao matatu na kutoa pasi tatu za mabao mwezi uliopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANE AWA MCHEZAJI BORA WA OKTOBA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top