Mohamed Salah akiwa juu kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Maribor usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Emre Can dakika ya 64 Daniel Sturridge dakika ya 90 wakati kipa wa Maribor, Jasmin Handanovic alicheza penalti ya James Milner dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Youngster Nico Williams nets brace to send Athletic Club into Europa League
quarter-finals
-
Spanish forward of Ghanaian descent, Nico Williams put up a spectacular
performance for Athletic Club on Thursday night, helping the team to reach
the quar...
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment