Borja Mayoral akishangilia baada ya kufingia mabao yote mawili Real Madrid dakika za 62 na 70 ikitoa sare ya 2-2 na Fuenlabrada katika mchezo wa Kombe a Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao ya Fuenlabrada yalifungwa na Luis Milla dakika ya 25 na Alvaro Portilla dakika ya 89 na Real inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-2 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Marcus Rashford 'has proven everyone wrong', says Daniel Sturridge after
his impressive display for Aston Villa against PSG - while Wayne Rooney
insists he '100%' still wants to play Man United
-
The Premier League side came into the second leg at Villa Park 3-1 down
after a brilliant display from Paris Saint-Germain in the French capital,
needing a...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment