• HABARI MPYA

        Monday, November 27, 2017

        OKWI ALIVYOISHUHUDIA SIMBA IKING'ANG'ANIWA NA LIPULI JANA

        Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (kushoto) akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya timu yake na Lipuli ya Iringa jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1  

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: OKWI ALIVYOISHUHUDIA SIMBA IKING'ANG'ANIWA NA LIPULI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry