• HABARI MPYA

        Friday, November 24, 2017

        NYONI AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA OKTOBA SIMBA

        Meneja wa Simba SC, Robert Richard (kushoto) akimkabidhi beki wa timu hiyo, Erasto Edward Nyoni tuzo yake Mchezaji Bora wa klabu wa mwezi Oktoba mwaka huu. 

        Zoezi hilo limefanyika leo Uwanja wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania, Kurasini Jijini Dar es Salaam, ambako Simba SC inaendelea na mazoezi yake kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Lipuli ya Iringa Jumapili
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: NYONI AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA OKTOBA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry