Wachezaji wa klabu ya Rayon Sports akiwemo Ismailla Diarra (kushoto) na Tidiane Kone (kulia), wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Kocha wao Msaidizi, Hamadi Ndikumana 'Katauti (picha ndogo juu kushoto) jana nyumbani kwake, eneo la Nyakabanda kwenda msikiti wa Qaddafi uliopo Nyamirambo, kabla ya mazishi yaliyofanyika jana. PICHA NA TIMOTH KISAMBIR (NEW TIMES/RWANDA)
Mzee Ndikumana, baba wa Hamad Ndikumana, mchezaji na Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda, akilia kwa uchungu wa kumpoteza mwanawe
Mama wa marehemu naye akilia kwa uchungu wakati mwili wa mwanawe unaondoka
Nyumbani kwa marehemu ndugu na jamaa wakiwa wenye wenye majonzi
Ndugu na jamaa wakiwa wenye wenye majonzi nyumbani kwa marehemu
Watoto wadogo pia walihudhuria mazishi ya mume wa zamani wa mcheza filamu wa Tanzania, Irene Uwoya
Waombolezaji wakilia kwenye msiba wa Katauti aliyewahi kucheza soka ya kulipwa Ubeligiji na Cyprus
Ilikuwa ni huzuni kwa wengi miongoni mwa waombolezaji waliojitokeza
Waziri wa Nchi wa Elimu ya Msingi na Sekondari, Isaac Munyakazi alikuwepo pia Nyakabanda kutoa heshima zake za mwisho
Hapa watu wanakwenda kuzika. Buriani Hamadi Ndikumana 'Katauti'
Screamers & headers on the floor - FA Cup third-round goals
-
Watch the best goals from the third round of the FA Cup, including strikes
from Trent Alexander Arnold, Bruno Fernandes and Joao Felix.
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment