NEYMAR AFUNGA MAWILI, PSG WAITANDIKA CELTIC 7-1 ULAYA
Nyota aliyesajiliwa Paris Saint-Germain kwa dau la rekodi ya dunia, Pauni Milioni 198, Neymar akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo mabao mawili dakika za tisa na 22 katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Celtic ya Scotland Uwanja wa Park des Princes mjini Paris, Ufaransa kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani dakika za 28 na 79, Kylian Mbappe dakika ya 35, Marco Verratti dakika ya 75 na Dani Alves dakika ya 80, wakati bao la Celtic limefungwa na Moussa Dembele dakika ya kwanzaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Uganda U17 Boys Face Kenya in Group A Finale
-
The Uganda U17 Boys National Team is bracing for one of the most pivotal
matches in their campaign as they take on familiar rivals Kenya in the
final Gro...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment