• HABARI MPYA

        Saturday, November 25, 2017

        MOSES ALIVYOWASILI NA CHELSEA KUIVAA LIVERPOOL LEO

        Mwanasoka wa kimataifa wa Nigeria, Victor Moses akiwasili na wachezaji wenzake wa klabu yake, Chelsea mjini Liverpool jana tayari kwa mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya klabu yake hiyo ya zamani, Liverpool aliyoichezea kwa mkopo msimu wa 2013-2014 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MOSES ALIVYOWASILI NA CHELSEA KUIVAA LIVERPOOL LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry