Mshambuliaji wa Chelsea, Alvaro Morata akitembea kishujaa baada ya kufunga bao la pili la Hispania dakika ya 23 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Costa Rica usiku wa jana kwenye mchezo wa kirafiki mjini Malaga. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Jordi Alba dakika ya sita, David Silva mawili dakika ya 51 na 55 na Andres Iniesta dakika ya 73 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Premier League stars try to pronounce the names of Aussie towns with
hilarious results - but one of them is right on the money
-
Channel 9 reporter Tom Morris reported on Wednesday that League One side
Wrexham are now due to tour Australia in July.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment