Nyota wa Argentina, Lionel Messi (kushoto) akikabidhiwa tuzo ya Mfungaji Bora wa Ulaya msimu wa 2016-17 na mchezaji mwenzake wa Barcelona, Luis Suarez leo baada ya kufunga mabao 37 katika La Liga msimu uliopita, ingawa timu yake ilishika nafasi ya pili nyuma ya mabingwa, Real Madrid. Hiyo inakuwa mara ya nne Messi kushinda Kiatu cha Dhahabu cha Ulaya, hivyo anafikia rekodi ya Cristiano Ronaldo wa Real Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Europa League preview: United v Lyon
-
With the tie finely poised, Ruben's Reds need your backing at Old Trafford
on Thursday.
47 minutes ago
0 comments:
Post a Comment