• HABARI MPYA

        Thursday, November 23, 2017

        MANCHESTER UNITED YAPIGWA 1-0 NA BASEL USWISI

        Marek Suchy wa Basel akigombea mpira na Romelu Lukaku wa Manchester United katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa St Jakob Park mjini Basel, Uswisi. Basel imeshinda 1-0, bao pekee la Michael Lang dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YAPIGWA 1-0 NA BASEL USWISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry