Romelu Lukaku akiifungia kwa kichwa Ubelgiji bao pekee la ushindi dakika ya 72 ikiilaza Japan 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Jan Breydelstadion mjini Brugge katika mchezo wa kirafiki na kuweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu yake ya taifa, akifikisha mabao 31 na kumpiku Bernard Voorhoof aliyefunga mabao 30 kati ya mwaka 1928 na 1940 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'We were in Vegas...' Which pundits have matching tattoos?
-
Which BBC pundits have matching tattoos on their bottoms? Which pundit was
called "the Diego Maradona of world rugby" and who once put a roast dinner
in a ...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment