Gonzalo Higuain akiifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 79 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Sporting Lisbon kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon, Ureno. Sporting Lisbon walitangulia kwa bao la Bruno Cesar dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How to watch and follow Wolves v United
-
The Reds are back in Premier League action on Boxing Day at Molineux.
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment