Mshambuliaji Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za 23 na 62 jana katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Hawthorns, West Bromwich. Mabao mengine ya The Blues yalifungwa na Alvaro Morata dakika ya 17 na Marcos Alonso dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Video: LeBron James Episode of 'New Heights' Podcast Teased By Travis,
Jason Kelce
-
One Cleveland legend will join two other Cleveland legends on their podcast
on Wednesday. Los Angeles Lakers star LeBron James is set to make an
appearance...
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment