Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Simba, Hajji Sunday Manara (kushoto) ameposti picha hii kwenye ukurasa wake instagram kiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Muslah 'Musley' Al-Ruwaih (kulia) kwenye Rasi ya Pwani ya Jijii la Muscat, Oman
Hajji Manara pia ameposti picha hii akiwa na familia ya mfadhili wa zamani wa Simba, Shekh Saleh Al-Rawaih, wanawe, Munir, Muthir, Musley, Munir na Murshid
Hapa ni wakati Hajji aliupokuwa kwenye ndege anakwenda Oman
Hapa ni wakati akiwa safarini amevaa nyeusi tupu kasoro begi
"I knew what I was going to do"- Antoine Semenyo reflects on stunner
against Chelsea
-
Ghana forward Antoine Semenyo has reacted to Bournemouth's performance at
Stamford Bridge against Chelsea in the thrilling 2-2 draw on Tuesday
evening. Th...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment