Kocha Mspaniola wa Manchester City, Pep Guardiola akiwa ameshika tuzo yake ya Kocha wa Mwezi wa Oktoba Ligi Kuu ya England, ambayo anashinda kwa mara ya pili mfululizo baada ya kushinda pia na Septemba. Amesherehekea tuzo huyo kwa pamoja na Wasaidizi wake kama ilivyo ada yake. Kutoka kushoto ni Rodolfo Borrell (Msaidizi), Sam Erith (Mkuu wa Idara ya Viwango), Xabi Mancisidor (Kocha wa makipa), Lorenzo Buenaventura (Kocha wa Mazoezi ya utimamu wa mwili), Pep Guardiola, Domenec Torrent (Kocha Msaidizi), Mikel Arteta (Kocha Msaidizi), Brian Kidd (Kocha Msaidizi) na Carles Planchart (Kocha Msaidizi) PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The end of Jurgen Klopp's quiet life: How former Liverpool boss was lured
from the solitude of sun and padel to pick Max Verstappen's brain - and why
he WON'T return to management
-
DOMINIC KING: There was nowhere to hide on Tuesday. Klopp was back in the
public eye, fielding all manner of enquiries from 200 media outlets but it
made y...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment