Kiungo wa Bayern Munich, Arturo Vidal akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Nahodha wa Celtic, Scott Brown katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya jana usiku Uwanja wa Celtic Park mjini Glasgow, Scotland. Bayern Munich ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Kingsley Coman dakika ya 22 and Javi Martinez dakika ya 77, wakati la Celtic lilifungwa na Callum McGregor dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2025 AFCON: Morocco eyes international friendly with Nigeria
-
As part of their early preparations for the 2025 Africa Cup of Nations
(AFCON), the Atlas Lions of Morocco are considering an international
friendly agai...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment