// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BARCELONA YAILAZA 2-1 SEVILLA LA LIGA MABAO YOTE PACO ALCACER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BARCELONA YAILAZA 2-1 SEVILLA LA LIGA MABAO YOTE PACO ALCACER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, November 05, 2017

    BARCELONA YAILAZA 2-1 SEVILLA LA LIGA MABAO YOTE PACO ALCACER

    Nyota wa Hispania, Paco Alcacer (kulia) akishangilia na Lionel Messi baada ya kuifungia Barcelona mabao yote mawili dakika za 23 na 65 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sevilla usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Bao la Sevilla lilifungwa na Guido Pizarro dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAILAZA 2-1 SEVILLA LA LIGA MABAO YOTE PACO ALCACER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top