// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC NA NJOMBE MJI KATIKA PICHA JANA SABA SABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC NA NJOMBE MJI KATIKA PICHA JANA SABA SABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, November 20, 2017

    AZAM FC NA NJOMBE MJI KATIKA PICHA JANA SABA SABA

    Kiungo wa Azam FC, Mghana Enock Atta Agyei akianguka baada ya kukwatuliwa na beki wa Njombe Mji FC na kusababisha penalti ambayo Aggrey Morris aliifungia bao pekee la ushindi timu ikiwalaza 1-0 wenyeji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Saba Saba jana
    Kiungo wa Azam FC, Salmin Hoza (kushoto) akinyoosha mguu kuunasa mpira dhidi ya mchezaji wa Njombe Mji
    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) akimiliki mpira pembeni ya mchezaji wa Njombe Mji FC 
    Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yusuph (kulia) akiwatoka wachezaji wa Njombe Mji FC
    Bruce Kangwa wa Azam FC (kushoto) akikimbilia mpira dhidi ya mchezaji wa Njombe Mji
    Kikosi cha Azam FC katika mchezo wa jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA NJOMBE MJI KATIKA PICHA JANA SABA SABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top