• HABARI MPYA

        Sunday, November 26, 2017

        AMLIMA NA MOHAMMED HUSSEIN ‘MMACHINGA’ ENZI ZAO ILIKUWA HATARI TUPU BANDARI MTWARA

        Nyota wa timu ya Bandari wakiongozwa na washambuliaji, Idelphonce Amlima (wa pili kulia) na Mohammed Hussein ‘Mmachinga’ (wa pili kushoto) wakiwa Uwanja wa Umoja (Sasa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara) wakati wa mazoezi yao mwaka 1992 kujiandaa na mechi za Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AMLIMA NA MOHAMMED HUSSEIN ‘MMACHINGA’ ENZI ZAO ILIKUWA HATARI TUPU BANDARI MTWARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry