Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu dakika ya 69 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Napoli usiku wa Jumatano Uwanja wa San Paolo mjini Napoli, Italia katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuvunja rekodi ya kufunga mabao mengi kihistoria katika timu hiyo iliyowekwa na Eric Brook aliyefunga mabao 177 miaka ya 1930. Mabao mengine ya City yamefungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 34, John Stones dakika ya 48 na Raheem Sterling dakika ya 90 na ushei, wakati ya Napoli yamefungwa na Lorenzo Insigne dakika ya 21 na Jorginho kwa penalti dakika ya 62 kufuatia Leroy Sane kumchezea rafy Raul Albiol kwenye boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Youngster Nico Williams nets brace to send Athletic Club into Europa League
quarter-finals
-
Spanish forward of Ghanaian descent, Nico Williams put up a spectacular
performance for Athletic Club on Thursday night, helping the team to reach
the quar...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment