Thursday, November 30, 2017
Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Azam Media, imeingia mkataba na Baraza la Vyama vya Soka Afika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa ...
MTIBWA SUGAR ‘YAMTIA KITANZI’ BEKI WA SERENGETI BOYS
Thursday, November 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa pembeni wa Mtibwa Sugar, Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea kl...
TORRES AFUNGA MAWILI ATLETICO MADRID YAUA 3-0 HISPANIA
Thursday, November 30, 2017
Fernando Torres akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid mabao mawili dakika za 33 na 68 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Elche kwen...
BARCELONA YAWAPIGA VIBONDE 5-0 KOMBE LA MFALME
Thursday, November 30, 2017
Mshambuliaji wa Barcelona, Paco Alcacer (kushoto) akishangilia mbele ya beki Gerard Pique baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-0 d...
RUDIGER AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAIBWAGA SWANSEA 1-0
Thursday, November 30, 2017
Beki Mjerumani, Antonio Rudiger akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 55 ikiilaza 1-0 Swansea City katika mchezo wa...
SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YACHINJA 3-0 UGENINI
Thursday, November 30, 2017
Alberto Moreno (kushoto) akimpongeza Mohamed Salah baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 77 na 83 katika ushindi wa 3-0 dhi...
RAHEEM STERLING TENA, AIFUNGIA LA USHINDI WA 2-1 MAN CITY
Thursday, November 30, 2017
Raheem Sterling akiruka juu kishujaa kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya sita ya muda wa nyingeza ba...
GIROUD APIGA MBILI, LACAZETTE, SANCHEZ 'MOJA MOJA' ARSENAL YASHINDA 5-0 ENGLAND
Thursday, November 30, 2017
Olivier Giroud akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 68 na 87 katika ushindi wa 5-0 wa Arsenal dhidi ya Huddersfield Tow...
EVERTON YAFUFUA MAKALI, ROONEY APIGA HAT TRICK YASHINDA 4-0
Thursday, November 30, 2017
Wayne Rooney akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 18, 28 na 66 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United u...
Wednesday, November 29, 2017
MAVUGO MRUNDI PEKEE ANAYECHEZA TANZANIA ALIYEITWA KIKOSI CHA INT’HAMBA MURUGAMBA
Wednesday, November 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Simba, Laudit Mavugo ni mchezaji pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenye kikosi cha Bu...
KOCHA MPYA EVERTON, ALLARDYCE ASEMA WACHEZAJI HAWAJIAMINI TENA
Wednesday, November 29, 2017
Sam Allardyce ni kocha mpya wa Everton kwa mswhahara wa Pauni Milioni 6 kwa mwaka PICHA ZAIDI GONGA HAPA RATIBA YA MECHI ZA EVERTO...
KIPA WA YANGA, KINDA WA AZAM WAONGEZWA KILI STARS
Wednesday, November 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje, ameongeza ...
WENGER ASEMA PETR CECH ANATAKA KUZEEKEA ARSENAL
Wednesday, November 29, 2017
KIPA Petr Cech hana mpango wa kuondoka Arsenal kwa mujibu wa kocha Mfaransa wa klabu hiyo, Arsene Wenger . Wenger amesema mlinda mlang...
NINJE APEWA NAFASI YA KUONGEZA WATATU KIKOSI CHA CHALLENGE
Wednesday, November 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limempa fursa kocha Ammy Ninje kuongeza wachezaji watatu kwenye kikosi...
CECAFA YACHUKUA MAREFA WAWILI TU TANZANIA
Wednesday, November 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetaua marefa wawili tu wa Tanzania kwa ajil...
HIMID MAO AWASHINDA WAGENI NA KUWA MCHEZAJI BORA WA AZAM OKOTBA
Wednesday, November 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NAHODHA wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa klabu kwa mwezi Oktoba baada ya...
LEICESTER CITY YAIKANDAMIZA 2-1 TOTTENHAM KING POWER
Wednesday, November 29, 2017
Riyad Mahrez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya T...
REAL MADRID YATOA SARE NYUMBANI 2-2 KOMBE LA MFALME
Wednesday, November 29, 2017
Borja Mayoral akishangilia baada ya kufingia mabao yote mawili Real Madrid dakika za 62 na 70 ikitoa sare ya 2-2 na Fuenlabrada katika ...
ASHLEY YOUNG AFUNGA MAWILI, MAN UNITED YAIPIGA 4-2 WATFORD
Wednesday, November 29, 2017
Ashley Young akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za 19 na 25 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Watford usi...
Tuesday, November 28, 2017
EUBANK NA GROOVES WATAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LAO LA FEBRUARI 17
Tuesday, November 28, 2017
Mabondia George Groves na Chris Eubank Jnr walipokutana katika mkutano na waandishi wa habari leo kutangaza pamabano lao la Nusu Fainali ...
MWANJALI NA MATOLA WALIPOFANYA 'KIKAO CHA DHARULA' JUMAPILI
Tuesday, November 28, 2017
Kocha Msaidizi wa Lipuli ya Iringa, Suleiman Matola (kulia) akisalimiana na Nahodha wa Simba, Method Mwanjali (kushoto) kabla ya mchezo w...
SIMBA KUANZA NA URA, YANGA NA JKU UFUNGUZI ‘MAPINDUZI CUP’ 2018
Tuesday, November 28, 2017
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM SIMBA SC itafungua dimba na URA ya Uganda katika michuano maarufu ya Kombe la Mapinduzi, Januari 2, mwaka 2...
SIMBA SC WAPEWA SIKU NNE MAPUMZIKO, KUREJEA IJUMAA MAZOEZINI
Tuesday, November 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Simba wamepewa mapumziko ya siku nne tu hadi Ijumaa kabla ya kurudi kuendelea na mazoezi kwa...
BUFFON ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA SERIE A
Tuesday, November 28, 2017
KIPA mkongwe wa Juventus , Gianluigi Buffon ameongeza tuzo baada ya kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa wa Msimu uliopita wa Serie A katik...
MAN UNITED WALIVYOKWEA TRENI KUWAFUATA WATFORD
Tuesday, November 28, 2017
Nyota wa Manchester United, Paul Pogba (kulia) na wenzake wakielekea kupanda treni katika stesheni ya Stockport kwa safari ya London kwa...
SAMATTA AENGULIWA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA
Tuesday, November 28, 2017
NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta ameshindwa kuingia katika orodha ya wanasoka 11 Bora wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika 2017. ...
AZAM FC 1-1 MTIBWA SUGAR
Tuesday, November 28, 2017
Monday, November 27, 2017
AZAM FC NA MTIBWA SUGAR HAKUNA MBABE, SARE 1-1 CHAMAZI
Monday, November 27, 2017
Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imeshindwa kuitoa juu ya msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba SC baada ya ...
Subscribe to:
Posts (Atom)