Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kabla ya mchezo dhidi ya wenyeji, Ethiopia Uwanja wa Taifa wa Addis Ababa Januari 8 mwaka 1995.
Kutoka kushoto Hussein Marsha, Mustafa Hoza, Said Mwamba (marehemu), Mwanamtwa Kihwelo, Joseph Katuba nyuma kidogo (marehemu), Nico Bambaga (marehemu), Clement Kahbuka nyuma, Madaraka Selemani, Juma Amir, Sekilojo Chambua, George Masatu, Edibily Lunyamila, Alphonce Modest, Deo Mkuki na Nteze John.

0 comments:
Post a Comment