Mkongwe Arjen Robben akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Uholanzi dakika za 16 kwa penalti na 40 ikishinda 2-0 dhidi ya Sweden jana kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Amsterdam ArenA mjini Amsterdam. Lakini ushindi huo haujaisaidia Uholanzi kufuzu Kombe la Dunia baada ya kuzidiwa wastani wa mabao na Denmark kufuatia kulingana kwa pointi 19 katika nafasi ya pili. Denmark inaungana na Ufaransa walioongoza kundi kwa pointi zao 23 kwenda Urusi mwakani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Seahawks' Kenneth Walker III Put on IR with Ankle Injury amid NFL Playoffs
Push
-
The Seattle Seahawks will enter a crucial end to the season without their
top tailback. Brady Henderson of ESPN reported that the Seahawks had placed
running…
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment