// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA MTANANGE WA WATANI MASHABIKI 'WANAFANYA YAO' - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA MTANANGE WA WATANI MASHABIKI 'WANAFANYA YAO' - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, October 28, 2017

    NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA MTANANGE WA WATANI MASHABIKI 'WANAFANYA YAO'

    Mashabiki wa Simba (kushoto) na Yanga (kulia) wakitambiana kwenye moja ya baa za nje ya Uwanja wa Taifa, kila mmoja akimuonyesha mwenzake idadi ya mabao ambayo timu yake itashinda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
    Hapa ni mashabiki wa Yanga wakipata vinywaji kabla ya kuingia uwanjani
    Hapa ni mashabiki wa Yanga wakipata vinywaji kabla ya kuingia uwanjani
    Mashabiki wa Simba wakipata wakisubiri huduma katika moja ya baa za nje ya Uwanja wa Uhuru 
    Hapa wamekaa pamoja mashabiki wa Yanga na Simba 
    Mashabiki wa Simba wakiwa mezani wanasubiri huduma
    Hawa ndiyo wanawahi kukata tiketi bila shaka
    Huyu binti amekwishakata tiketi anakwenda kupoteza muda sehemu atarejea
    Hawa bila shaka wanawahi kmuingia uwanjani mapema
    Mwonekano wa kuelekea Uwanja wa Uhuru kama unatokea Chang'ombe
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NJE YA UWANJA WA UHURU KABLA YA MTANANGE WA WATANI MASHABIKI 'WANAFANYA YAO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top