Neymar Junior, Kylian Mbappe na Edinson Cavani wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 6-2 wa Paris Saint-Germain dhidi ya Bordeaux kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaranda Jumamosi Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Neymar alifunga dakika ya tano na 40 kwa penalti, wakati Cavani alifunga dakika ya 12 na Mbappe dakika ya 58. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Thomas Meunier dakika ya 21 na Julian Draxler dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
De Ligt: We're focused on solving tough period
-
The United defender opens up about recent results and the plan to put it
right against Liverpool.
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment