Nahodha wa Uholanzi, Arjen Robben akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Belarus, Sergei Balanovich katika mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia kwa upande wa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Borisov Arena mjini Borisov. Uholanzi ilishinda 3-1 mabao yake yakifungwa na Davy Propper dakika ya 24, Arjen Robben kwa penalti dakika ya 84 na Memphis Depay dakika ya 90 wakati la wenyeji lilifungwa na Maksim Volodko dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man City agree £33.6m deal for Lens defender Khusanov
-
Manchester City agree £33.6m deal with Lens for Uzbekistan central defender
Abdukodir Khusanov.
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment