Kutoka kushoto wachezaji wa Simba, Jamal Mnyate, Juma Luizio na Jamal Mwambeleko wakiwa na mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Abdallah Juma kwenye kona ya chini ya mti upande wa Kaskazini mwa Uwanja wa Uhuru wakiishuhidia timu yao ikimenyana na Njombe Mji jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Simba ilishinda 4-0
Neymar 'in shock talks to join MLS club'... but Brazil icon won't reunite
with Lionel Messi at Inter Miami
-
It appears that Brazil football icon Neymar is considering a move stateside
from Saudi Pro League club Al Hilal - with three MLS clubs in the running
for h...
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment