// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HISPANIA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI KUFUZU KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HISPANIA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI KUFUZU KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, October 10, 2017

    HISPANIA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    Asier Illarramendi akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao pekee Hispania dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Israel usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi Uwanja wa Teddi Malcha mjini Jerusalem. Hispania tayari imefuzu Kombe l Dunia mapema kabla ya mchezo huo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HISPANIA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top