Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za nne na 56 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Liverpool Uwanja wa Wembley, London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Son Heung-Min dakika ya 12 na Dele Alli dakika ya 45 na ushei wakati bao pekee la Liverpool limefungwa na Mohamed Salah dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kwadwo Baah's sssist earns Watford a draw at Cardiff
-
Ghanaian forward Kwadwo Baah played a pivotal role as Watford earned a
hard-fought 1-1 draw against Cardiff City in the Championship on Tuesday
evening at ...
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment