Kiungo wa Chelsea, Tiemoue Bakayoko akiucheza mpira kwa kichwa mbele ya mguu wa mchezaji wa Roma, Maxime Gonalons katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London timu hizo zikitoka sare ya 3-3. Mabao ya Roma yalifungwa na Edin Dzeko mawili dakika za 64 na 70 na Aleksandar Kolarov dakika ya 40, wakati ya Chelsea yalifungwa na David Luiz dakika ya 11 na Eden Hazard mawili dakika za 37 na 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kwadwo Baah's sssist earns Watford a draw at Cardiff
-
Ghanaian forward Kwadwo Baah played a pivotal role as Watford earned a
hard-fought 1-1 draw against Cardiff City in the Championship on Tuesday
evening at ...
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment